Dogo Richie & SimpleBoy-FOLLOW ME (Teaser)

Mwishoni mwa wiki jana nilitembelea Studio ya Mo Fire Records, Mazeras na kwa bahati nzuri nlipata na hitmaker wa Yoyoba, Dogo Richie pamoja na SimpleBoy wakitayarisha track yao mpya kwa jina FOLLOW ME ambaye inatarajiwa kudondoka mda wowote kutoka sasa. Hiki hapa ni kionjo cha track hio kali ambayo imetayarishwa na Producer Tonniedadd.
DOWNLOAD/LISTEN HERE 

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele