EXCLUSIVE MUSIC: Dazlah Feat Susumila-BANGEREBA REMIX

Mwaka jana walifanya collabo ambayo ilitokea kua wimbo mkubwa zaidi kutoka pwani mwaka jana kwani wimbo huo ndio wimbo uliochezwa sana nchi nzima kutoka pwani. Kidekide ni wimbo ambao hata leo ni vigumu siku ikamilikie bila kuuskia wimbo huo kuchezwa katika redio au hata mix za ma,dj kwenye usafiri wa umma.
Hii hapa ni remix ya Bangereba, track ambayo Dazlah alikua ameifanya 2014 peke yake. Na sasa amemshirikisha Susumila tena. Hili ni bonge la hit ambalo limetayarishwa na Producer Tee Hits na Producer Totti.
 LISTEN/DOWNLOAD HERE   
OR HERE

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele