EXCLUSIVE VIDEO: Ohzy Feat Crazy K & Susumila
Zile ngojangoja sasa kwishney, hatimaye ule ujio mpya wa rapper mkali Ohzy ndio huu. Kutoka ThurnderSounds Records kwa Producer Morbiz Sheriff, Susumila na Crazy K wameshirikishwa katika hii party Song, bonge la track.
Video imetayarishwa na Ricky Bekko wa BigDreams Media.
Comments
Post a Comment