Kumbe Kigoto hutangaza mechi za Soccer
Ni msanii ambaye ana uwezo mkubwa sana wa utunzi. Ukitengeneza orodha ya wasanii hapa nyumbani ambao wanapeta sana kwenye anga za mziki ukikosa kum,weka basi hio list itabidi itengenezewe kamati ili kuichunguza. Ali,hit sana na Kichapo Cha Mapenzi na baadae hit kama vile Ridhika, Vumilia na Aire akiwa Number1 Records chini ya uongozi wa Produecr TK2. Hio ni kabla kuhamia Nairobi ambako ana management mpya ambayo chini ya uongozi wake aliachia track na video ya Hello Hello mwishoni mwa mwaka jana.
Lakini kando na mziki, kumbe Kigoto ni mkali sana katika utangazaji wa soka.... Yani hata hahitaji mashabiki kwani anaweza piga kujazia tu mwenyewe zile shangwe za mashabiki. Usidhani ni porojo zangu tu...Huyu hapa Kigoto akifanya mambo yako
Bonyeza Hapa Kumskiliza Kigoto

Comments
Post a Comment