Bonge moja la Colabo kutoka kwa DiamondPlatnumz akiwa ameshirikiana na AKA kutoka Afrika Kusini. Ni track ambayo ilitayarishwa na producer mkubwa kutoka Tanzania, Tuddy Thomas. DOWNLOAD / LISTEN HERE
Mtaa Kwa Mtaa- Country Boy akimshirikisha GNAKO ni moja kati ya track za hiphop ambazo zili,hit sana mwaka jana. Hii hapa ni remix ya hit hio ikiwa mara hii Stamina, ChidiBend na Climax Bibo wameingia mzigoni. DOWNLOAD/LISTEN HERE
Comments
Post a Comment