NEW MUSIC: BenPol Feat Jux-NAKUCHANA
Kutoka AM Records, hawa hapa wasanii wawili wakali wa Rnb bongo, hitmaker wa Nikuite nani, Jux na star wa Sophia.
Ni bonge la track ukizingatia ya kwamba wote wamezoea kuimba mapenzi lakini kwa hii ambayo wamefanya styl ya majibizano, hawahimba mapenzi bali muonekano wao wa mziki na ushindani wa binafsi kimziki, kama vile Jux kutwaa tuzo ya mwanamziki bora wa Rnb ambayo BenPol alikua ameitangulia kuikwarua.
DOWNLOAD / LISTEN HERE
NAKUBALI MTANDAO WAKO ILA MZIKI MWINGI WA KILIFI HATUPATI KWA WEB YAKO .MARIAKNI KWA LAI/ HALF DOSE /MILLION RECORDS / EPHRA AND MANY MORE HOPE YOU WILL DO YOUR BEST BAYA
ReplyDelete