NEW MUSIC: Cannibal, Susumila, Kaa Laa Moto, Vivonce-SUPERSTAR


Mkongwe wa mziki wa HipHop Cannibal alipotea kwa mda mrefu sana katika game. Na hivi karibuni maekua akijifua sana kurudi kachukua nafasi yake katika mziki. Hajarudi katika mziki tu bali pia amejitosa katika siasa kwani anapigania kua MCA wa ward ya Kiembeni katika uchaguzi mwakani.
Baada ya kumshirikisha Juma Nature katika Kidaluso, track ambayo inatesa sana katika chati za mda hivi sasa nchini Tanzania, hii ni mpya akiwa ameshirikiana na Vivonce, Susumila na Kaa Laa Moto, star mkali wa hiphop ambaye ameamua huu mwaka ni ma,collabo kwenda mbele ikiwa imetayarishwa na mikono ya Producer Amz, Tempoz.
DOWNLOAD / LISTEN HERE 

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele