NEW MUSIC: Gaspery Feat Kigoto-SHANGINGI


Gaspery Mwakatengo ambaye katika sanaa ya mziki anatumia jina Gaspery ni chipukizi ambaye anauwezo mkubwa wa kuchana na kuimba. Katika hii track yake ya kwanzaambayo inamtambulisha katika sanaa ya burudani Gaspery ame,rap na kuonyesha uwezo wake mkubwa wa utunzi na styl yake tofauti, amemshirikisha hitmaker, Kigoto.
Track hii iliatayarishwa Number  1 Records na Producer mkali TK2.
DOWNLOAD/ LISTEN HERE 

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele