NEW MUSIC: GZee Feat Kimbo-VIDONGE VYAO

Hassan Juma aka GZee ni msanii kutoka mji wa Malindi anayefanya mtindo wa RnB na Hiphop. Japo anatokea Malindi, mishemishe zake za mziki huzifanyia mjini Kilifi katika studio ya Jay Crack, Crack Sounds Records. Afisaa huyu wa usalama mwaka jana aliachia wimbo aliomshirikisha Shaa Biggy kwa jina Hisia Kali na sasa amerudi tena na VIDONGE VYAO raundi hii akiwa amemshirikisha mkali wa kuchana Master Kimbo.
 DOWNLOAD / LISTEN HERE

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele