NEW MUSIC: Harmonize Ft Diamond Platnumz-BADO
Kutoka Wasafi Classic Records, hawa hapa ni CEO wa wasafi, Diamond Platnumz akiwa ameshirikishwa na kijana ambaye amem,sign na ameweza kuonyesha uwezo mkubwa sana baada ya kuteka anga za mziki na track yake ya kwanza kutoka Wasafi ya AIYOLA. Hiki hapa ni kichupa kipya ambacho Harmonize amemshirikisha boss wake.
DOWNLOAD / LISTEN HERE
Comments
Post a Comment