NEW MUSIC: Ohzy & Crazy K Feat Susumila-SHEREHE


Ujio mpya wa Ohzy baada ya kukaa kimya kwa mda mrefu katika tasnia ya mziki, amerudi na hii ameshirikiana na Crazy K na Susumila. Ni track kali sana inayoongelea mambo ya kula bata, kujiachia na kusherehekea maisha. Ilitayarishwa na Producer Morbiz, Thundersounds Records.
DOWNLOAD / LISTEN HERE

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele