NEW MUSIC: Wasojali Band & Kelechi Africana
Walianza mziki mwaka jana wakiwa katika ulezi wa Athman Baba. Idris, Ability, Hamso na Jay Bro ambao ndio wanaounda kundi zima la WASOJALI BAND walikimbiza vizuri mwaka jana hadi kuchukua tuzo ya kundi bora katika tuzo za Nzumari Awards. Huu mwaka nao wameamua kukimbiza zaidi kwani baada ya kuachia track yao mpya mwezi uliopita wamerudi tena wakiwa wamemshirikisha Kelechi Africana, chipukizi mwengine mwenye talanta sana ambaye pia ako katika uangalizi wa Athman Baba.
Hii ni track ambayo ilitayarishwa na Producer Noizer, GreenHouse Records.
LISTEN / DOWNLOAD
Hii ni track ambayo ilitayarishwa na Producer Noizer, GreenHouse Records.
LISTEN / DOWNLOAD
Comments
Post a Comment