NEW VIDEO: Dogo Richie -YOYOBA
YOYOBA ni track ambayo iliandaliwa na Producer Totti ambayo Dogo Richie aliidondosha mwishoni mwa mwaka jana na bado inatamba katika maredio na mitaani. Mwaka ukianza Dogo Richie aliahidi ya kwamba huu mwaka ni kuuza sura kwa sana, akimaanisha ya kwamba atadondosha video nyingi mno, hii ni baada ya yeye ku,sign,iwa na KingKong Entertainment. Na akiionyesha seriousness ya kauli yake ameanza na video timam kabisa ya Yoyoba ikiwa imeongozwa na Lil Guy G.
Comments
Post a Comment