NEW VIDEO: Nay Wa Mitego- SHIKA ADABU YAKO
Ni track ambayo iligonga vichwa vya habari tu baada ya kuachiwa kwani kama kawaida yake, Nay alikua ameongea vitu controversial sana kama vile kuhoji uhakika wa mimbo ya Wema Sepetu ambayo baadae aliipoteza, tetesi za kwamba Ommy Dimpoz 'hapigi mechi'... Ni track ambayo hata BASATA aliipiga marufu na kumkataza Nay kutoiongelea katika vyombo vya habari kwani hata hao walikua wamechanwa hatika track hio. Hatimaye video imedondoshwa ikiwa imeongozwa na NICKLASS....
Comments
Post a Comment