NEW VIDEO: Queen Renee- CHAMPAGNE

Kutoka kwa Album yake ya pili inayoenda kwa jina CHAMPAGNE, hii ni track yake inayobeba jina la album hio. Queen Renee wikendi hii atakua nchini Ujerumani katika tamasha la Kenya Culture & Fashiona Show. Wimbo huu wa kujirusha na kusherehekea maisha umeandaliwa na Producer Akeem na video imetayarishwa na A-World Visuals.
 

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele