Shirko anastahili kutambuliwa kwa kuchangia kutangaza Mombasa nchini Tanzania, asema Amoury


Msanii huyo mkongwe wa mombasa amejitokeza na kusema kuwa producer shirko ni moja kati ya ma producer ambao hawajapata heshima wanayostahili.Kulingana na amour ni kwamba kufikia sasa wadau wa mziki wanafaa kutambua kazi kubwa anayoifanya shirko ikizingatiwa kuwa kufikia sasa producer huyo ametayarisha hits kali saana za kundi la ya moto band ambalo limetikisa afrika mashariki kwa mda sasa.."yamoto band kwa sasa wako juu,sasa kwanini watu watambue ya moto band na wasimtambue shirko ambaye ametayarisha nyimbo zao,kama tanzania wanamtambua mbona sisi kama watu wa mombasa tusimtambue"alisema Amoury. 
Mbali na hayo Amoury pia amezungumzia baadhi ya miradi ambayo shirko anatarajia kuifanya mombasa,vipi je kuhusu SAV CLAN pamoja na alipo VICTOR MO,VIBES RECORDS pamoja na ujio wake mpya na malengo ya kampuni yao ya kutayarisha videos. Kwa mengi zaidi Bonyeza HAPA kumskliza akifunguka

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele