BabTale Ajitokeza Kumsaidia Chidi Benz
Rapper mkongwe na mkali wa hiphop bongo amegongwa vichwa vya habari baada ya yeye kuonekana jinsi mwili wake ulivyoisha na kukiri ya kwamba hali yake ya afya kwa sasa ni mbya na anahitaji msaada ili arudi kama zamani na apate mafanikio kama ya vile ya Diamond.
Hatimaye ni kama ule msaada ambao alikua anatamani sana Chidi Benz ukawa umemfikia. Hio ni baada ya manager wa Diamond ambaye pia ni manager wa TipTop Connection, Babu Tale kujitokeza na kusema ya kwamba ameamua kumsaidia Chidi Benz. Tale kupitia Instagram alipost video akiwa na Chidi Benz.

Tale amepost: Mungu nisimamie ni ngumu ila naamini tutashinda #ukukwetu. katika video hio ambayo Chidi Benz ameonekana ni mwenye furaha akisema "Mungu tusimamie, tujaalie, mjaalie Tale, nijaalie na mimi, tunaomba mengi, tutakua na vingi, tutaenda sehemu nyingi, tutafanikiwa..".
Wengi wameonyeshwa kufurahishwa na hatua hio ya BabTale kumsaidia Chidi ila si wote walipokelea habari izo vyema kwani mfano msanii Young Dee amesema si mwanzo mzuri wa kumsaidia Chidi Benz kwani anaona ni aibu na masgabiki sugu wa Chidi hawatafurahio hivyo kwani haipendezi kuanza kutangaza kua anamsaidia. Young Dee alisema ya kwamba ni bora Tale angemsaidia kimyakimya kwani hatua hio ni mwanzo wa kumsaidia lakini vilevile kummaliza mkali huyo mbele ya macho ya mashabiki.
Comments
Post a Comment