Collabo yangu Inayofuata itakua na Nameless, asema Dazlah. Na Vipi video ya Bangereba Remix?
Dazlah Kiduche aka KideKide Master amefunguka na kusema ya kwamba collabo inayofuata ataifanya na nguli wa mziki hapa Kenya, David Mathenge au ukipenda Nameless. Lakini hio itakua ni baada ya kufanya single yake solo kani ni mda mrefu sana tangu aachie video ya project yake peke yake. Je hii inamaana ya kwamba Video ya Bangereba Remix ndio imeyeyuka au?
Video ya wimbo wa Dazlah, Bangereba remix aliomshirikisha msanii Susumila ni moja kati ya projects ambazo zimekua zikingojwa na mashabiki wengi saana.Ni proect ambayo imetawala vichwa vya habari za burudani kwa takriban miezi sita kwa sasa.Ngoma ilitoka audio ambayo kwa sasa imemaliza takriban wiki tatu sokoni ila swali ni je videoo iliyoahidiwa mashabiki yatoka lini? Kulingana na msanii Dazlah ni kwamba watayarishaji ambao walikua wanatarajiwa kuitayarisha video ya bangereba remix walipendekeza kuwa kwa sasa ingekua bora Dazlah asimame peke yake kwenye video ya single yake mpya ndio baadae atayarishe video ya Bangereba Remix.Kulingana na Dazlah pia ni kwamba wameona ingekua kazi ngumu kiasi ikizingatiwa kuwa ni juzi tu Susumila ambaye alimshirikisha kwenye track hiyo ya bangereba alitayarisha video yake ya mapepe aliyomshirikisha Rabbit hivyo kuifanya kuwa ngumu kwa wasanii hao kutayarisha video ya bangereba kwa sasa.
Hii collabo na Nameless tuitarajie lini? Na hii video ya Bangereba Remix itatoka kweli? Tumskilize Dazlah akifunguka zaidi kaatika mahojiano yake na MTU BEI / Kelvin Jilani.
Bonyeza Hapa Kumskiliza Dazlah

Comments
Post a Comment