Eti Kenyan Men Are Much Cheaper
Wanaija wenyewe hivi majuzi walifunguka na kusema si eti hao wanajua kupetipeti lakini wanawake wa Kenya ni rahisi sanaaa. yani kuwatongoza na kumgharamia mwanamke wa Kenya ni rahisi kama kutandika mkeka vile yani wanauwake wa Kenya hawana thamani. Wapo walionekana kuunga mkono kauli hio haswa baada ya kusambaa video mitandaoni ya mwanamke kwa jina 'shiro' alikonekana akijipendekeza na kucheza kwa mahaba akimtongoza mwanamme flani ivi ambaye alikua akiongea na asili nzima ya kinigeria.
Wanawake wengi hawajapendelea kauli hii ya kwamba wanawake wa Kenya ni rahisi na wamekua wakilalamika sana. Leo katika Kipindi cha MwakeMwake kinachoendeshwa Gates Mgenge, PiliPili FM mwanamke mmoja mbaye ni wakili anayeishi maeneo ya Nyali alipiga simu na kusema wanaume wa Kenya ndio rahisi sana kwani yeye binafsi hua anawapata tu kwa urahisi kwa kuwagharamia vitu rahisi sana kwani hata wengi hawawezi jigharami na yeye kama mwanamke ndiye 'boss'... Hebu mskilize HAPA
Comments
Post a Comment