Izzo Bizness Feat Barnaba & Shaa-USIJIOVADOZ

Mwishoni mwa wiki jana Chidi Benz katika interview na Clouds Tv alionekana alivyokondamana na akieleza jinsi anavyoteseka na anahitaji msaada. Chidi Benz amehusishwa sana na utumiaji wa madawa ya kulevya haswaa pale alipokamatwa uwanja wa ndege na heroine na bangi.
Wengi wakielekeza kidole cha lawama utumiiaji wa madawa ya kulevya shida anayopitia Chidi Benz, Izzo Bizness amewashirikisha Shaa na Barnaba katika hii track ambaye wanaongelea kula bata. Si eti wanakataza watu wajistareheshe lakini cha msingi ni kwamba mtu awe na limits... Ebu iskilize.
DOWNLOAD / LISTEN

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele