Kionjo Cha Video Ya Sera Sarah - "UKIRUDI" Itakayodondoka Leo
Mwaka jana aliachia bonge la project, Cheza Kidogo. Track ambayo iliweza kuteka anga za mziki kwa fujo. Akimshirikisha Dazlah ambaye alikua anapeta na KideKide, track hio iliweza kuteuliwa katika kitengo cha Best Collaboration Of The Year na pia katika kitengo cha Video Of The Year japo kua haikuweza kushinda katika vitengo vyote viwili katika tuzo za Pwani Celebrity Awards.
Na sasa Serah Sarah anadondosha UKIRUDI. Ikifika Mida ya saa kumi hivi, video hio ambayo imeongozwa na kutayarishwa na Hamza Omar wa One Montage Films.
ITAZAME HAPA
Na sasa Serah Sarah anadondosha UKIRUDI. Ikifika Mida ya saa kumi hivi, video hio ambayo imeongozwa na kutayarishwa na Hamza Omar wa One Montage Films.
ITAZAME HAPA
Comments
Post a Comment