NEW MUSIC: Chikuzee Feat Kassim Mganga- NARINGA NAE

Zee la mavuvuzela au kwa harakaharaka CHIKUZEE ni mmoja kati ya wasanii magwiji hapa mkoani. Katika siku za hivi karibuni amekua kimya sana lakini huu hapa ujio wake mpya. Akiachia wimbo huu Chikuzee amesema ya kwamba huu ni ujio mpya na si kurudi tu kushtua lakini amerudi, vizuri na zaidi ya vile alivyokua. Chikuzee amesema ya kwamba huu ni mwanzo mpya tu kwani watu watarajie mambo mengi, tofauti na vile walivyomzoea.
Katika wimbo huu ulioandaliwa AM Records ya Tanzania memshirikisha Tajiri wa mahaba, msanii kutoka kuleee kwa Magufuli, Kassim Mganga.
DOWNLOAD / LISTEN HERE au HAPA
 

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele