NEW MUSIC: Dula - BABYLON


Anafahamika sana na style yake ya Swahili Reggae hasa baada ya kufanya hit kwa jina BILA WEWE ila Wengi wanamjua kama Triple A, Jina mbalo lilivuma sana enzi zile ALI B akiwa NABS ENTERTAINMENT. Dula ndiye producer aliyemuandalia ALI B nyimbo zake zote alizofanya Nabs Entertainment, kama vile Kadzo na Zungusha. Hio ilikua ni kabla hajaenda nchini Uganda na baadaye Tanzania ambapo aliingilia uandaaji wa filamu na kufanya kazi na magwiji wa bongomuvi kama vile Wolper.
Alirudi Kenya na kuanzisha Studio yake mwenyewe, MO TOWN Records.Ikiwa ndio kura za mwakani zishaanza na wanasiasa wapo mashinani kurai wanachi kuwaomba kura, Dula katika wimbo huu anawauliza wanasiasa.. where is our revenue... where is our tax...
DOWNLOAD / LISTEN 

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele