NEW MUSIC: GZee Feat Shaa Biggy- KaaZeze
Msanii mkali kutoka kuleee Kilifonia, GZee amemshirikisha Shaa Biggy katika KaaZeze. Ni version ingine ya track ambayo walikua wameifanya kitambo wakaiita Hisi Kali. Audio ndio hii imetangulia na video ipo jikoni katika hatua za mwisho za utayarishaji.
DOWNLOAD / LISTEN HERE OR HERE
Comments
Post a Comment