NEW MUSIC: Queen Renee- SWEET LOVE
Alirudi wiki mbili zilizopita kutoka Ujerumani ambako alikua ameitikia mwito wa mwaliko katika Kenya Culture & Fashion Show. Akirudi alisema ya kwamba anajipanga kuanza media tour, na kabla kuanza media tour ambayo atakua ana,promote Album yake ya Kamata Champaign, ameachia Sweet Love ambayo ni track yake ya pili katika album hio.
DOWNLOAD / LISTEN HERE or HERE
Comments
Post a Comment