NEW MUSIC: Raymond-KWETU
Ni talanta ambayo ilikua katika malezi ya TipTop Connection ila sasa amekua msanii wa pili kusajiliwa katika label ya WCB ya Diambond Platnumz baada ya Harmonize. Raymond alitambulika mwaka 2011 alipoebuka mshindi katika shindano la Freestyle mjini Mbeya ndipo akasajiliwa na TipTop Connection ambapo alipata kuonekana sana katika show nyingi za Madee na TipToP Connection. Ukaribu wa TipTop Connection na WCB ndio uliowezesha Raymond kujiunga na WCB na hii ndio track yake ya kwanza katika WCB akimwelezea mschana anayempenda jinsi maisha ya kwao ya umaskini yalivyo.
DOWNLOAD / LISTEN HERE
DOWNLOAD / LISTEN HERE
Comments
Post a Comment