NEW MUSIC: Serah Sarah -UKIRUDI


Kama ni sauti basi huyu dada kabarikiwa, na tungo zake hapa ameonyesha umahiri. Baada ya kuhit na Cheza Kidogo, Serah Sarah amerudi tena kukonga nyoyo zetu na UKIRUDI, Track ambayo imeandaliwa na Producer Mastola ambaye ni MCongo. Umbali aliopo na nyumbani hauja uruhusu uwe kikwazo katika kutengeneza mziki ambao soko lake kubwa ni Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla kwani katika kutayarisha wimbo huu ilim,bidi kumsafirisha Producer Mastola hadi Dubai aliko ili kumtayarishia wimbo huu, kama vilevile alivyomgharamia Hamza Omar, ONE MONTAGE FILMZ kuenda kumfanyia video ya wimbo huu. Bonyeza  HAPA au HAPA kuusikiliza/pakua

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele