NEW MUSIC: T.I.D Feat Dully Sykes & Joh Makini- CONFIDENCE
3kings, kama walivyojiita katika ngoma hii iliyotayarishwa na Nusder. Ni Khalid Salum Mohamed aka TID akiwa amewashirikisha mkongwe wa bongofleva, hitmaker wa Shikide-Dully Sykes na mkali wa hiphop ambaye kwa sasa ndio jamaa anayepeta sana katika anga za hiphop Afrika Mashariki, hitmaker wa Don Bother-Joh Makini aka Mwamba wa Kaskazini. Kama kuna collabo za mwaka basi hii ni moja wapo.
DOWNLOAD/LISTEN HERE
Comments
Post a Comment