NEW MUSIC: Yamoto Band- NIGANDE

Moja kati ya makundi yanayotesa sana Afrika Mashariki. Wanapeta sana anga za mziki na hua wako,booked sana hata kuwapata kwa show ni balaa. Huu hapa ni mdundo wao mpya, kama kawaida, hawachezi mbali na mapenzi.
DOWNLOAD / LISTEN HERE or HERE

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele