NEW VIDEO: Dee Buowy Feat Chapatizzo & CLD - NIPE

Ni msanii wa hiphop na hupenda sana kufuse kiingereza, kiswahili na kimijikenda na track ya ChapChap Remix ambayo aliwashirikisha Susumila, Amoury, Kingstng, Kidis, Johnny Skani, Rojo Mo na Totti ni moja kati ya Track/video za Dee Bouwy ambazo zimepata airplay kubwa. Aliachia audio ya NIPE alyowashirikisha Chapatizzo na CLD na sasa hii ni vdeo yake ambayo ilitayarishwa na Director Edward Martins.

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele