NEW VIDEO: Eddy Ticha - ZAWADI

Ni mmoja kati ya wasanii ambao wana uwezo mkubwa sana wa utunzi na sauti. Huyu jamaa alishawahi fanya album nzima bila kutoa video lakini ameamua ya kwamba huu ni mwaka mpya wa kufanya vitu vipya ndio maana project yake ya kwanza mwaka huu imefuatiliwa na video yake hii.
Ni wimbo uliotayarishwa na Morbiz Sheriff, Thurnder, Sound Records na video imeongozwa na Lynke Jr, Damusik Lab.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele