NEW VIDEO: Queen Renee- SWEET LOVE
Queen Renee, ambaye alizindua album yake ya Kamata Champagne na pia kutambulisha track yake ya pili kutoka kwa album hio ameachia video ya track hio kwa jina SWEET LOVE. Ni video ambayo itakua inatambulishwa rasmi leo Dans Lounge, Valencia Inn katika katika #CelebrityThursday.
Comments
Post a Comment