NEW VIDEO: Serah Sarah -UKIRUDI

Baada ya kuhit na Cheza Kidogo ambayo alikua amemshirikisha Dazlah, hitmaker wa Kidekide, Serah Sarah ameachia bonge la video....bonge la video yani. Ni video ya track yake mpya kwa jina UKIRUDI. Hamza Omar wa ONE MONTAGE Filmz ndiye aliyetayarisha video hii ambayo iliandaliwa Dubai.

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele