Queen Renee Awakilisha Pwani katika Kenya Culture & Fashion Show Nchini Ujerumani

Irene Njeri aka Queen Renee ni msanii kutoka hapa Mkoani maeneno ya Mtwapa. Ni msanii wa kike  ambaye kufikia sasa ana nyimbo 12 kibindoni ambazo ziko kwenye album zake mbili. Akiachia video ya Champaign hapo mwezi jana, Renee alifunga safari kuelekea nchini Ujerumani, si kwa matembezi, masomo au kazi bali kuwakilisha Pwani na Kenya kwa ujumla katika maonyesho ya Kenya Culture And Fashion Show. Aliwakilisha Pwani vilivyo na hizi ni picha za maopnyesho hayo ambayo Renee alihudhuria.

Renee pia amedokeza ya kwamba wiki ijayo anaanza media tour kuendelea kutambulisha wimbo na video ya champaign...itazame

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele