Flavour Atatiza Mitandaoni Na Picha Hii Ya Uchi
Kuna mambo ambayo hufanyika sana katika showbiz, ila mengi yanapenda sana kufanywa na wasanii au celebrities wa ughaibuni na iwapo ikitokea Afrika basi hua inakua issue sana kwa sababu mila, desturi na tamaduni za Afrika haziruhusu.
Mara nyingi wau waarufu ulaya haswaa wa kike wamekua wakijipa kiki kwa kupiga picha za nusu uchi au uchi kabisaa na kuweka mitandaoni.
Msanii kutoka Nigeria, Chinedu Okoli aka Mr Flavour naye ameamua kwamba ataenda na mkondo huo kwanikatika account yake ya Instagram alipost picha ambayo inaonekana ako uchi ila ameficha sehemu nyeti zake na guitar tu.
Wapo walioona ni sawa na wapo waliona ya kwamba Flavour amechemkaa, mfano kuna shabiki aliyesema ya kwamba wanaume wa kweli wanapost picha za watoto wao, wapenzi wao na marafiki ila si picha ya kilimbukeni kama hio.
Comments
Post a Comment