Jovial Afunguka Na Kueleza Jinsi Wasanii Hujitakia Wenyewe Kutumiwa
Msanii wa muziki kutoka Mombasa, Jovial amepuuzilia mbali dhana ya
kuwa fursa za kimuziki ziko Nairobi pekee. Kulingana na Jovial ni kwamba, fursa ziko mahali popote pale
kinachohitajika ni bidii ya msanii katika kuskuma mziki wake na kutafta
connections.
"ukiwa na akili na unajua ku hype kazi yako na unajua kuzungusha kazi zako yaani opportunites ziko kila mahali sio Nairobi sio Mombasa inategemea na bidii yako". Jovial ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake cha Unakosa Raha pia aliongeza kuwa wasanii wengi wanafeli wakienda Nairobi kwa sababu wakipata deal yakufanya kazi na studio kubwa za Nairobi wanazidiwa na furaha kiwango cha kutozingatia mikataba.
"Mtu anapata deal anakua confused to an extent hafikirii kama kuna kusign hafikirii hivyo vitu vidogo vidogo believe me they pay because ukifanya kazi na msanii mkubwa and u dont notice those little things utakua umefanya mziki na yeye yeye anapokea wewe hupokei coz huezi claim ile song unakuta at the end of the tym umetumika"
Kuhusu swala swala la msanii kuwa nauhusiano wa kimapenzi na producer wake, Jovial amesema kuwa uhusiano unaofaa kuwepo kati ya msanii na producer ni wa kikazi pekee zaidi ya hapo itakua ni kuharibu, ila je, ashawahi kutongozwa na Producer, Dj au Presenter ili kuskuma kazi zake? Na kama ndio, ni Presenter au Produer yupi aliyewahi kumtongoza.

Bonyeza HAPA kumsikiliza Jovial akifunguka na mahojiano yake na Kelvin Jilani/Mtu Bei
Comments
Post a Comment