Mercy Masika Ahusika Katika Ajali Ya Barabarani
Mwanamziki wa Injili ambaye wimbo wake wa MWEMA ulihit sana na bado unaendelea ku,enjoy airplay kubwa amenusurika kifo katika ajili ya barabarani usiku wa Jumamosi 23, April kuamkia Jumapili 21, April.
Mercy amenusurika ajali hio bila hata kukwaruzika popote. Ajali hio ambayo ilihusisha gari lake ambyo iligongwa kwa nyuma na trailer ilitokea katika barabara kuu ya Thika SuperHighway.
Japo awali kulikua na uvumi ya kwamba Mercy alikua hali mahututi akipigania uhai wake katika hospitali ya Aga Khan, Mercy ameweza kuweka wazi ya kwako ako salama salmin. Kupitia handle yake ya Twitter, Mercy ambaye ameolewa na David Muguro kwa takriban miaka saba sasa na wamejaaliwa watoto wawili ( Ranise Muguro na Tevita Muguro ) amepost:
“I take this time to say am (sic) completely out of danger and without even a scratch from the accident. I serve a living God,”

Comments
Post a Comment