Mr Blue Afunga Ndoa

Kheri Sameer Rajabu aka Mr Blue alifunga ndoa hapo jana. Mr Blue alifunga ndoa na Waheeda ambaye ndio amam wa watoto wake wawili.
Sherehe hio ambaye ilifanywa kimya kimya sana ilihudhuriwa na watu wa wachache sana ambao wapo karibu na wanandoa hao.





Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele