NEW MUSIC: Barnaba-WANIFAA
Mkongwe na mkali wa mziki wa bongofleva ambaye anajulikana sana kwa hits za mapenzi na hisia kali ameachia wimbo wake mpya kwa jina WANIFAA. Akiachia wimbo huo, barnaba amesema ya kwamba WANIFAA nunabeba ujumbe ambao unawerza kum,dedicate,ia baba, mama, mtoto, ndugu, rafiki na vilevile mpenzi wako.
Ni track kali ambayo imetayarishwa na Producer yuleyule ambaye amekua akitayrarisha hits nyingi za Barnaba na track zingine nyingi, Ema The Boy.
Download/Listen HERE or HERE
Comments
Post a Comment