NEW MUSIC: Gaspery Feat Kaa La Moto - NIAMBIE NIJUE
Gaspery Mwakatengo ambaye jina lake la kisanii ni Gaspery ni msanii ambaye anachipuka na kwa kasi sana. Ni msanii ambaye ana bidii na anajaribu sana kufanya vitu tufauti chini ya management ya Vidudu Classic.
Alifanya track ya kwanza-SHANGINGI, Mwaka jana, 2015 ambayo alimshirikisha Kigoto chini ya Producer TK2.
Kwa mara ya pili, amekuja na Kaa La Moto chini ya mikono ya Producer AMZ.
''Oyoo Kaa La Moto Hivi ni hit song ama ni
connection...
ama ni kuhonga kwenye hizo radio station....
mbona we unachezwa ama unakula nao...
ama kisa niukali ndo Unakaa kwa chati zao....''
Hio ni kati ya mistari iliyopo katika pini hili jipya... hivi ni nini watakua wameongelea? Pakua uskilize
DOWNLOAD / LISTEN HERE

Comments
Post a Comment