NEW MUSIC: Nuh Mziwanda Feat AliKiba - JIKE SHUPA
Aliyekua akim,date Shilole na kusemekana kwamba alikua akipokea kipigo kutoka kwa mpenzi wake Nuh Mziwanda, hitmaker wa track kama vile Bilima baada ya kukaa kimya kwa kiasi cha haja amevunja ukimya wake kwa kuachia hit hiii aliyomshirikisha star wa bongfleva, AliKiba. Ni track ambayo imetayarishwa na Prodcuer Mr. T Touch.
DOWNLOAD/LISTEN HERE or HERE
Comments
Post a Comment