NEW MUSIC: Queen Renee - GADO(DUMBELELE)
Ni mmoja kati ya wasanii wanaochipuka na ana bidii sana na kazi yake. Mwezi jana tu ndio aliachia wimbo na video yake mpya na sasa ameachia mzigo mpya tena kwa jina GADO / DUMBELELE. Wimbo ambao anaimbia mpenzi wake akieleza jinsi anavyompenda na alivyo na nthamani kwake....
DOWNLOAD / LISTEN HERE
DOWNLOAD / LISTEN HERE
Comments
Post a Comment