NEW VIDEO: Queen Renee- GADO / DUMBELELE

Alifanya launch ya kwanza ya video hii ki aina. Lauch hio ilikua ya masaa 36 ambapo alitembelea maeneo tofauti ya burudani na vituo vya redio akiiachia rasmi video hio.
Queen Renee ambaye alishawahi wakilisha Kenya katika maonyesho ya Kenya Culture & Fashion Show Nchini Ujerumani ni msanii wa kike anayechipuka kwa bidii sana. Hii hapa ndio video yake  mpya kwa jina Gado / Dumbelele.


Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele