Makundi mawili yanayotamba kimziki mziki hapa Afrika, SAUTISOL kutoka hapa nyumbani Kenya na MI CASA kutoka Afrika Kusini wameangusha video mpya wa wimbo TULALE FOFOFO.
Mtaa Kwa Mtaa- Country Boy akimshirikisha GNAKO ni moja kati ya track za hiphop ambazo zili,hit sana mwaka jana. Hii hapa ni remix ya hit hio ikiwa mara hii Stamina, ChidiBend na Climax Bibo wameingia mzigoni. DOWNLOAD/LISTEN HERE
Comments
Post a Comment