Papa Wemba Afariki Dunia (video alivyoanguka jukwaani)

Mwanamziki mkongwe wa nyimbo za lingala mwenye mika 66, Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba au Papa Wemba kama anavyojulikana amefariki dunia.
Papa Wemba alianguka jukwaani akitumbuiza katika tamasha la tisa la FEMUA (FEMUA 9) katika mji wa Abidjan, Ivory Coast. Papa walidondoka stejini na kuanguka wakati wanenguaji wake wakiendelea kutumbuiza bila kujua yaliyokua yamejiri. Wahudumu wa shirika la RecCross walikimbia kumsaidia pamoja na wanabendi wake lakini wakapata ugumu wa kumuamsha na kumrudisha katika hali ya kawaida, jambo ambalo liliwafanya wamkimbize hospitalini.
Punde tu baada ya tukio hilo, manager wake alipost na kifaransa katika ukurasa wake wa Facebook, nikitafsiri:
“I do not have the strength to put this information on Facebook,...Papa Wemba fell on stage at Anoumabo, Abidjan where he was performing at the Legislative Femua festival, organized by the Magic System. There’s more scared than hurt. As a manager, I assure you on his state of health and beg you to not put false information.... He was quickly taken over by the Red Coss and is resting in a hospital in the square. Malongiskin Cornely Malongi who’s with him s take care of everything. Thank you Lord for your grace.”
Lakini baada ya takriban masaa mawili, alipost:
"You can’t do this to us dad, no.”...akitumia alama ya hisia ya 'feeling shocked''.
**Tazama hapa chini video ya alivyoanguka jukwaani kabla ya kifo chake**

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele