Rihaha The Boss Ataja Msanii Anayetamani sana Am,Manage
''Rihaha the boss'' ambaye kwa sasa ameandikisha mafanikio makubwa saana katika kazi yake ya kuwasimamia wasanii amefunguka na kusema kuwa baadhi ya sifa ambazo msanii anafaa kuwa nazo ndio a,fit katika management yake ni bidii na nidhamu. Aliongezea kuwa, lazma msanii mwenyewe awe na malengo ya kutoka hatua moja hadi nyingine.
Zilikuwepo fununu kuwa Rihaha alikua na mpango wa kuwasimamia Shaa Biggy na Dogo Richie ila mpango mzima ukafeli. Je kulitokea nini na chanzo cha mpango huo kufeli ni nini?
Je unajua kwamba kuna msanii kutoka mombasa ambaye Rihaha ametamani saana kumsimamia,ungependa kumjua?... Msikilize Rihaha akitiririka katika mahojiano yake na Kelvin Jilani/MTU BEI HAPA
Comments
Post a Comment