SudiBoy Aeleze Kuhusu Studio Yake Na Anayopanga Kuyafanya


Hitmaker wa KuleKule, Sudiboy amefunguka na kusema kuwa studio yake ishakamilika na kilichobaki kwa sasa ni producer ili kazi ianze. Sudiboy pia ameweka vigezo ambavyo ataangalia kwa msanii kufanya kazi katika studio yake.
Sudi ameeleza ya kwamba studio yake itahusika na watu wenye vipaji..... "Kutokee msanii aje afanye kazi nzuri mimi binafsi niko radhi kumsukuma mbele mpaka pale nitakapoweza".
Sudiboy amedokeza ya kwamba  Ijumaa hii atakua anaachia wimbo ambao amemshirikisha Brown Mauzo. Mbali na maswala yanayohusu studio yake, Sudiboy amezungumzia matamanio ya Rihaha the boss kufanya kazi naye.... Je amesemaje? Sudi pia amewataja wasanii watu wa kike kutoka pwani anaowakubali. Je wasanii hao ni akina nani?
Bonyeza HAPA kumsikiliza Sudiboy akifunguka kwa kina katika mahojiano yake na Kelvin Jilani (MTU BEI)

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele