Vivonce Awachamba Mabinti Wanaopenda Vya Bure
Msanii wa kike kutoka pwani ya kenya, Vivonce amewapa makavu live mabinti wanaopenda kujianika kwenye mitandao ya kijamii kwa kigezo cha kutafuta njia za mkato kupata mafanikio. Kulingana na Vivonce ni kwamba unapotaka kufanikiwa katika maisha sharti ufanye bidii na ujitahidi vilivyo kutafuta mafanikio kwa njia zinazostahili. Ushauri wa msanii huyu ni kwamba vijana wafanye kazi wakijua wazi kuwa mwanzo wa mafanikio yoyote huwa mgumu ila juhudi na nia humfikisha mtu kwenye mafanikio.
"mimi kama the flaglady hua naskia uchungu sana kuona wanawake wenzangu wa Kenya wakijianika katika social media ili wapate wangoso".... Vivonce amesema katika mahojiano yake na MTUBEI....
Bonyeza HAPA kuskiliza mahojiano hayo kwa kuna
Comments
Post a Comment