Escobar Aacha Masomo Ili Kurudi Kwenye Mziki Fulltime

Msanii Escobar mbaye siku za nyuma alisema kuwa amejipa likizo ya mziki kwa ajili ya kujipa mda kwenye Masomo kwa sasa amesema ameacha masomo na kurudi tena kwenye mziki. Kwa sasa msanii huyu yuko mbioni kuachilia ngoma yake mpya wiki ijayo ambayo amemshirikisha Kalicha
Kwenye mipango na harakati zake za kurudi tena kwenye game na kupambana na ushindani uliopo,msanii huyu amekiri kuwa amelazimika kurudi kivingine kabisa ili alete utofauti katika style yake pamoja na kukidhi mahitaji ya soko la mziki kwa sasa....
"Zamani nilikua nikirap lakini siku hizi naimbaga saana kwa sababu mziki wa siku hizi ni wa kuimba saana, Rap inalipa lakini inabidi uiskume saana ndio itakulipa alafu isiwe hardcore"
Escobar pia amesema kuwa amepanga kusafiri hadi nairobi kwa ajili ya kufanya remix ya wimbo wa yende yuye
Bonyeza HERE kumsikiliza Escobar akifunguka.

Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele