Hiki Ndicho Kitakachotokea Baada Ya Nyota Kufunga Ndoa


Mkongwe wa mziki hapa pwani, Nyota Ndogo aliweza kufunga pingu za maisha mwishoni mwa wiki jana na mchumba wake wa miaka miwili mwenye asili ya ki,dutch, Mr. Neilsen.
Katika sherehe hio iliyohudhuriwa na ndugu, marafiki na baadhi na wasikadau katika tasnia ya mziki ilifanyika katika mkahawa wa RoseWood Hotel mjini Voi.

Neilsen ambaye ndio alikua anajishindia jiko siku hio anaonekana amenogewa na mapenzi si haba kwani katika sherehe hio, alisema ya kwamba baada ya kufunga ndoa na Nyota Ndogo, anajipanga kuhamia hapa nchini na kufanya Kenya kuwa makazi yake rasmi milele.



Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele